sw_tn/exo/31/06.md

29 lines
551 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuzungmza na Musa.
# Oholiabu ... Ahisamaki
Haya ni majina ya wanaume.
# Nami nimetia hekima katika mioyo ya wote wenye moyo wa hekima
Mungu anazungumza kufanya watu kuweza kutengeneza vitu kana kwamba uwezo alikuwa anaweka kwenye mioyo yao.
# hema la kukutania
Hili ni jina lingine la maskani.
# sanduku la ushuhuda
Sanduku ni chombo kinacho hifadhi amri.
# madhabahu ya kufukizia uvumba
"madhabahu ya kuteketeza uvumba"
# madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa
"madhabahu ambayo sadaka ili teketezwa"