forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
416 B
Markdown
13 lines
416 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Huu ni mwisho wa wimbo wa Musa.
|
||
|
|
||
|
# Furahi, enyi mataifa
|
||
|
|
||
|
Musa anaongea na watu wa mataifa yote kana kwamba walikuwa wakisikiliza.
|
||
|
|
||
|
# kwa maana atalipiza kisasi damu ya watumishi wake; atalipiza kisasi juu ya maadui zake
|
||
|
|
||
|
Hapa "damu ya watumishi wake" inawakilisha maisha ya watumishi wake wasio na hatia ambao waliuawa. "kwa maana atalipiza kisasi kwa adui zake, ambao waliwaua watumishi wake"
|
||
|
|