sw_tn/deu/12/07.md

9 lines
209 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni pale
Hii urejea kwa eneo ambalo Yahwe atachagua kwa watoto wa Israeli kuabudu.
# furahia juu ya kila kitu ambacho umeweka mkono wako
Hapa "umeweka mkono wako" uwakilisha mtu mzima na kazi aliyofanya.