sw_tn/deu/04/11.md

17 lines
405 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha wanaisraeli historia yao.
# pamoja na moto kwa moyo wa mbinguni
Haya maneno "Moyo wa" unamaanisha " katikati ya" au "sehemu ya ndani zaidi," na "mbingu" hapa urejea kwa anga. "pamoja na moto ambao ulienda angani"
# kwa giza, mawingu, na giza nene
Hapa "giza nene" uelezea mawingu. "kwa nene, wingu la giza"
# giza nene
Maana nyingine ni "wingu zito"