sw_tn/dan/08/09.md

21 lines
648 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ilikuwa pembe kubwa
"lakini ilikuwa kubwa sana"
# upande wa kusini, na mashariki, na katika nchi ya uzuri
Hii huenda ina maana ya kwamba pembe imeelekea sehemu hizo. "na imeelekea upande wa kusini na kisha upande wa mashariki na kisha nchi nzuri ya Israeli"
# ilikuwa kubwa na matokeo yake iliinua vita
Mahali hapa pembe amepewa sifa za mtu na anajihusisha katika vita.
# Baadhi ya jeshi na nyota kadhaa zilitupwa chini duniani
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. Pembe ilitupa baadhi ya jeshi na baadhi ya nyota chini ya dunia.
# zilikanyagwa.
mahali hapa "pembe" imepewa sifa za binadamu na amezikanyaga nyota na juu ya jeshi.