forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
602 B
Markdown
17 lines
602 B
Markdown
|
# kuvuka katika uso wa dunia yote
|
||
|
|
||
|
Mahali hapa neno "uso" linarejelea sehemu ya juu ya nchi. Kirai "dunia yote" kinatia chumvi chenye maana kwamba alikuja kutoka mbali sana.
|
||
|
|
||
|
# Mbuzi huyo alikuwa na pembe kubwa katikati ya macho yake
|
||
|
|
||
|
Mbuzi huwa na pembe mbili katika pande mbili za vichwa vyao. Sura hii lazima ielezeke kama "Mbuzi alikuwa na pembe moja kubwa katikati ya kichwa chake"
|
||
|
|
||
|
# nilikuwa nimemwona kondoo dume amesimama katika ukingo wa mfereji
|
||
|
|
||
|
Kirai hiki kimechomekwa ili kuleta maelezo ya nyuma ili kuelezea mahali ambapo beberu alikuwa.
|
||
|
|
||
|
# kwa hasira kali
|
||
|
|
||
|
"na alikuwa na hasira kali"
|
||
|
|