sw_tn/dan/04/13.md

17 lines
478 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Katika mistari ya 1-18, Nebukadneza anaeleza maono yake kutoka kwa Mungu katika nafsi ya kwanza.
# niliona katika akili zangu
Hii inarejelea kitendo cha kuiona ndoto au maono.
# Alipiga kelele na kusema
Inaweza kuwekwa wazi kwamba mjumbe mtakatifu alikuwa akiongea na mtu zaidi ya mmoja
# Wanyama na wakimbie kutoka chini yake na ndege wapae mbali kutoka katika matawi yake.
"Wanyama watakimbia chini yake na ndege watapaa kutoka katika matawi yake."