forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
475 B
Markdown
13 lines
475 B
Markdown
|
# Jambo hili limeshamalizika
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Nimeamua cha kufanya juu ya jambo hili"
|
||
|
|
||
|
# miili yenu itakatwa vipande vipande na nyumba zenu zitafanywa kuwa vichuguu vya uchafu
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Nitawaamuru wanajeshi wangu kukata miili yenu katika vipande na kuzifanya nyumba zenu kuwa vichuguu vya uchafu"
|
||
|
|
||
|
# mtapokea zawadi kutoka kwangu
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Nitawapeni zawadi"
|
||
|
|