sw_tn/amo/05/03.md

16 lines
686 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bwana Yahwe, Yahwe Mungu
Katika Agano la Kale, "Bwana Yahwe" mara kwa mara limetuika limerejea kwa Mungu wa kweli mmoja."
# nyumba
Neno "nyumba" mara nyingi limetumika katika Biblia.
*Wakati mwingine linamaanisha "kaya," kurejea watu waishio pamoja katika nyumba moja.
*Mara nyingi "nyumba" hurejea kwa ukoo wa mtu au ndugu wengine. Kwa mfano, kirai "nyumba ya Daudi" hurejea kwa koo zote za Mfalme Daudi.
*Maneno "nyumba ya Mungu" na "nyumba ya Yahwe" hurejea kwa hema au hekalu. Haya maelezo pia unaweza kurejea kiujumla mahali Mungu alipo au makao.
# Israeli, Waisraeli, taifa la Israeli
Neno "Israeli" ni jina ambalo Mungu alipatia Yakobo. Lina maana, "amepigana na Mungu."