forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
420 B
Markdown
13 lines
420 B
Markdown
|
# kufuata njia zote ambazo baba yake alienenda kwazo
|
||
|
|
||
|
"kutembea katika njia zote ambazo baba yake alienenda kwazo." Jinsi ambavyo mtu aishivyo inzungumziwa kana kwamba huyo mtu alikuwa akitembea kwenye njia. "kuishi hasa ambavyo baba yake alivyoishi"
|
||
|
|
||
|
# Alijitenga na Yahwe
|
||
|
|
||
|
"Alienda mbali na Yahwe" au "Hakumsikiliza tena Yahwe"
|
||
|
|
||
|
# kufanya njama juu yake
|
||
|
|
||
|
"kufanya mpango na kufanya kazi pamoja kwa ajili ya kumdhuru"
|
||
|
|