sw_tn/2ki/15/25.md

29 lines
544 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Peka ... Remalia
Haya ni majina yakiume.
# njama dhidi yake
"mpango wa siri kumuua Pekahia"
# watu hamsini
"watu 50"
# Argobu ... Arie
Haya ni majina yakiume.
# ngome ya nyumba ya kifalme
"sehemu ya ngome ya nyumba ya mfalme" au "sehemu salama katika nyumba ya mfalme"
# akawa mfalme katika mahali pake
Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaanisha "badala yake" "kuwa mfalme badala ya Pekahia"
# yameandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Wafalme wa Israeli
"mnaweza kuyasoma katika Kitabu cha Mtukio ya Wafalme wa Israeli"