sw_tn/2ki/13/14.md

17 lines
565 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# omboleza juu yake
"omboleza kwa sababu Elisha alikuwa anaumwa"
# Baba yangu, baba yangu
Elisha hakuwa baba wa mfalme halisi. Mfalme Yoashi alitumia hili neno kama alama ya heshima.
# magari ya farasi ya Israeli na hawa waendesha farasi wanakuchukua
Hii ni kumbukumbu kwa Elisha kwanda mbinguni katika 2:11. Yoashi anatumika hili neno kusema kwamba Elisha alikwa anaenda kufa. "magari ya farasi ya Israeli na waendesha farasi wanakuchukua kwenda mbinguni"
# waendesha farasi
Hii inarejea kwa watu waliokuwa wakiendesha farasi. "waendesha magari ya farasi"