sw_tn/2ki/11/04.md

25 lines
646 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kauli Unganishi:
Hii inaendelea hadithi ya kilichotokea baada ya Yoashi, mwana wa Mfalme Azaia, alijificha kwenye hekalu baada ya Wafalme wote wa uzao wa Ahazia kuawa.
# Katika siku ya saba
"Katika siku ya saba ya utawala wa Athalia" au "Katika mwaka wa 7 wa utawala wa Athalia"
# Yehoyada
kuhani mkuu
# Wakari
Hili ni jina la kundi maalumu la walinzi wa kifalme.
# kuwaleta kwake
Yehoyada, kuhani mkuu, alikuwa na hawa askari wa kijeshi wakitoa taarifa kwake kwenye hekalu. "walikuja kuonana naye kwenye hekalu"
# Kisha akawaonyesha mwana wa mfalme
Yehoyada akawafunulia kwamba Yoashi, mwana wa Mfalme Azahia, alikuwa bado yu hai.