sw_tn/2ki/09/14.md

45 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nimshi
Nimshi ni jina la baba wa Yehoshafati
# Basi Yoramu
Hili neno limetumika hapa kuvunja alama katika hadithi kuu. Hapa mwandishi anaeleza habari ya historia jinsi Yoramu alivyokuwa amejeruhiwa na kwenda kupona katika Yezreeli.
# Israeli yote
Hii inarejea kwa jeshi la Waisraeli pekee na sio kwa kila mmoja aishie katika Israeli. "yeye na jeshi lake" au "yeye na jeshi la Israeli"
# kuponywa
"kupona kutokana na"
# majeraha aliyokuwa ameyapewa na Washami
Hii inamaanisha kwamba alikuwa amejeruhiwa katika vita pamoja na Washami. "majeraha ambayo Yoramu aliyapata kipindi cha vita pamoja na jeshi la Shami"
# juu ya Hezekia mfalme wa Shamu
Hii inamrejea Hazaeli na jeshi lake. "juu ya na jeshi lake"
# Hazaeli
Hazaeli alikuwa mfalme wa Shami
# Yehu aliwaambia watumishi wa Yoramu
Hii inawarejea maafisa waliokuwa pamoja na Romath Gileadi.
# Kama hili ni wazo lako
"Kama upo kwenye makubaliano pamoja nami" Yehu anatumia hili neno kurejea kama watu wanamuunga mkono kuwa mfalme na maamuzi yake. "Kama kweli mnataka niwe mfalme wenu"
# ili kwenda kusema hizi habari katika Yezreeli
Hii inarejea kumwambia Yoramu na jeshi lake la mbinu za Yehu. "kumuonya mfalme Yoramu na jeshi lake katika Yezreeli"
# Basi Ahazia
Neno "basi" limetumika hapa kuvunja alama katika kichwa cha hadithi. Hapa mwandishi anaeleza habari za nyumba kuhusu Ahazia kumtembelea Yoramu.