forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
693 B
Markdown
21 lines
693 B
Markdown
|
# walichotufanyia
|
||
|
|
||
|
"kinachopangwa kufanywa kwetu" au "walichofanya kutudanganya"
|
||
|
|
||
|
# kuwakamata wakiwa hai
|
||
|
|
||
|
Hii inamaana kwamba wangewakamata watu na sio kuwaua.
|
||
|
|
||
|
# farasi waliobaki, ambao waliobaki katika mji
|
||
|
|
||
|
Farasi wengi ni mali ya Waisraeli walikufa kwa sababu ya njaa. Maana ya hii inaweza kuwekwa wazi. "farasi katika mji ambao bado wako hai"
|
||
|
|
||
|
# Wako kama mkutano wote wa Israeli waliobaki
|
||
|
|
||
|
Watu watakao enda kwa kambi ya Washamu watashiriki mauti ile ile kama mabaki ya Waisraeli waliobaki katika mji. Pengine watakufa kwa njaa, au labda kuwa kama karibu na Washami.
|
||
|
|
||
|
# na tazama
|
||
|
|
||
|
Habari ya wazi inaweza kuongezwa kufanya maana wazi. "na tazama kama hawa wakoma walichokisema ni kweli?
|
||
|
|