sw_tn/1sa/14/36.md

25 lines
515 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Sauli anataka kuendelea kupigana na Wafilisti.
# tusimwache hata mtu mmoja akiwa hai
"Tumuue kila mtu"
# Fanya unaloona linakupendeza
Sauli aliungwa mkono na jeshi lake katika kuendeleza mapigano.
# Hebu na tumkaribie Mungu mahali hapa
"kumkaribia Mungu" ni kitendo cha kutaka ushauri kwake. " hebu tumuulize Mungu la kufanya"
# utawaweka katika mkono wa Israeli
"utatusaidia kuwashinda"
# Lakini Mungu hakumjibu siku hiyo
Hii inadhihirisha kuwa Mungu hakuwa tayari kumsaidia Sauli.