forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
652 B
Markdown
17 lines
652 B
Markdown
|
# walichungulia ndani ya sanduku
|
||
|
|
||
|
Sanduku lilikuwa takatifu sana na hakuna mtu aliyeruhusiwa kulitizama nadani. Makuhani tuu ndio walioruhusiwa.
|
||
|
|
||
|
# Aliwaua watu sabini
|
||
|
|
||
|
"Aliwaua watu 70"
|
||
|
|
||
|
# Je, ni nani awezaye kusimama mbele ya BWANA, huyu Mungu mtakatifu?
|
||
|
|
||
|
Yaweza kuwa na maana ya 1) Hakuna mtu anayeweza kushindana na Bwana kwa sababu ni mtakatifu. au 2) Yatupasa kumtafuta mtu atakayemtumikia Bwana kama Kuhani, je nani kati yetu anastahili?
|
||
|
|
||
|
# Atapanda kwenda kwa nani kutoka kwetu?
|
||
|
|
||
|
Hili ni swali ambalo watu wanatafuta majibu. Yaweza kuwa na maana ya 1) "Bwana atakwenda kwa nani kutoka kwetu?" au 2) "sanduku litakwenda kwa nani kutoka kwetu?"
|
||
|
|