sw_tn/1ki/08/46.md

17 lines
516 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kutokea katika nchi ya watekaji
"ambako adui zao wamewapeleka kama mateka"
# katika nchi ya watekaji
Neno "watekaji" linamaasha wale watu ambao huwafanya watu kuwa mateka.
# Tuemetenda kwa ukaidi, na tumefanya dhambi. Tumetenda kwa uovu.
Virai hivi viwili vinvamaanisha kitu kimoja na vimetumika kuonyesha msisitizo wa jinsi hawa watu walivyofanya mabaya.
# tumetenda kwa ukaidi, na tumefanya dhambi
Maneno haya mawili ya namaanisha kitu kilekile na yametumika kuonyesha jinsi wale watu walivyofanya uovu.