sw_tn/1ki/01/09.md

21 lines
470 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ndama walionona
"ndama waliokuwa wamepewa chakula cha kutosha ili wanenepe" au "ng'ombe wachanga waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya sadaka"
# jiwe la Sohelethi
Hili ni eneo lenye mwamba lililokaribu na Yerusalemu.
# Eni Rogeli
Hili liliuwa jina la kisima ambacho watu walipata maji
# ndugu zake wote, watoto wa mfalme
virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekile
# wanaume wote wa Yuda, na watumishi wa mfalme
Virai hivi viwili vinamaanisha jambo lilelile.