sw_tn/1ch/11/22.md

17 lines
234 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mambo makuu
Haya ni matendo yanayoonyesha ujasiri, uweza, au ujuzi.
# theluji ikianguka
"wakati wa dhoruba ya theluji"
# lakini alimfuata chini
"Benaia alikutana na Mmisri"
# mkuki kama gongo la mshonaji
"mkuki mkubwa sana"