sw_tn/zep/01/14.md

32 lines
1.6 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# karibu, karibu na inaharakisha haraka
Marudio ya neno "karibu," pamoja na maneno "inaharakisha haraka" inasisitiza kwamba siku wakati Yahweh anahukumu watu haraka itatokea. "karibu na itakuwa hapa haraka."
# Siku hiyo itakuwa siku ya ghadhabu ... buruji
Kauli hii ni kusisitiza jinsi hukumu ya Mungu itakavyokuwa ya kutisha. Namba nyingi za hotuba zinaongezeka na kuonyesha uharibifu wa asili ya hukumu hii ya mwisho ya Mungu. Inajenga mkazo.
# siku ya shida na uchungu
Neno "shida" na "uchungu" inamaanisha kuhusu kitu kilicho sawa na kusisitiza ukali wa shida za watu.
# siku ya dhoruba na uharibifu
Hapa neno "dhoruba" inahusu hukunu ya Mungu. Neno "uharibifu" inaelezea madhara ya hukumu ile. "siku ya inayoharibiwa na dhoriuba" au siku ya kuharibiwa na hukumu." (na
# siku ya giza na viza
Neno "giza" na "viza" linashiriki maana sawa na kusisitiza kiwango giza. Maneno yote yanalejea kwenye wakati wa maafa au hukumu ya Mungu. "Siku ambayo imejaa giza." au "siku ya hukumu ya kutisha."
# siku ya mawingu na giza nene
maneno haya yanamaanisha kitu kilicho sawa kama, na linaongezezea wazo la maneno yaliyotangulia. kama maneno haya, yote "mawingu" na "giza nene" inarejea kwenye hukumu ya Mungu. "siku iliyojaa dhoruba lenye mawiingu yenye giza." (na
# siku ya panda na kengele
Maneno "panda" na "kengele" kimsingi yanamaananisha kitu kilicho sawa hapa. Yote yanamaanisha kuita askari kujiandaa kwa vita. "siku wakati watu watakapotoa sauti ya kengele ya vita."
# mada ni miji na buruji ndefu
Misemo hii miwili yote inarejea kwenye nguvu ya kijeshi inayoshikilia. " mada ni miji mizuri."