sw_tn/zec/13/08.md

12 lines
636 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hili ni tamko la Yahwe
Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe" Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.
# Nitaipitisha theluthi katika moto
Madini yanapitishwa motono ili kusafishwa au kuboreshwa. Hii inaonesha watu wakipata mateso ili kwamba wawe waaminifu zaidi kwa Mungu.
# kuwasafisha kama fedha isafishwavyo; nitawajaribu kama dhahabu ijaribiwavyo
Kusafisha inamaanisha kufanya madini ya thamani kama vile fedha safi zaidi. Madini kama vile fedha na dhahabu yanajaribiwa ili kuona jinsi yalivyosafi au na nguvu. Haya yote yanatumika kuwafanya watu kuwa waaminifu zaidi kwa Mungu.