sw_tn/zec/05/03.md

36 lines
770 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Malaika anaendelea kuongea na Zakaria.
# anakwenda juu ya uso wa
Kifungu hiki kinahusu laana kama wingu linalosambaa kufunika uso wa nchi. Neno "uso" inahusu uso wa nchi kama uso wa mtu juu ya nyuso za kichwa chao.
# kutegemea inachosema upande mmoja
"kutegemea na kile ambacho gombo limeandika upande mmoja"
# kwa kadili ya maneno yao
Kifungu "maneno yao" kinamaanisha kile kilichosema katika nadhiri zao.
# Nitaipeleka
Neno "hiyo" inahusu laana.
# hili ni tamko la Yahwe wa majeshi
Kifungu mara nyingi kimefasiriwa kama "asema Yahwe. Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.
# nyumba
Hii inamaanisha familia ya mtu na kila anachokimiliki.
# wa yule aapaye
"wa yule aapaye"
# mbao
mti unaotumika kwa ujenzi.