sw_tn/zec/02/12.md

12 lines
317 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe atamiliki... katika nchi takatifu
"Yahwe ataifanya Yuda mali yake ya nchi takatifu"
# miili yote
Yahwe anarejerea kwa viumbe hai wote kwa kuwaita miili. Mwili ni kitu walichonacho viumbe wote.
# maana ameinuka kutoka mahali patakatifu pake
Hii inamaanisha Yahwe kusababishwa kuchukua hatua juu ya nchi.