sw_tn/zec/01/04.md

36 lines
985 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walilia
"kupiga kelele"
# Kugeuka kutoka
"kubadilika"
# Lakini hawakuweza kusikia wala kunijari
Vifungu hivi vyote vinamaanisha watu wa Israeli wasingeweza kutii maagizo ya Yahwe.
# asema Yahwe
Kifungu hiki mara kwa mara kitafasiriwa kama "asema Yahwe" katika UDB. Na kirai hiki kimetumika sana katika kitabu cha Zakaria.
# Wako wapi baba zenu? Na manabii, je wapo hapa daima?
Maswali haya yote yameulizwa kuonesha kwamba kwa kweli watu wanakufa.
# Lakini maneno yangu na maagizo niliyowaamru watumishi wangu manabii, je hayakuwapata baba zenu?
Maswali haya yametumika kuonesha watu wa Israeli kwamba kila jambo ambalo Bwana alikuwa amewaambia manabii wake kuwaonya babu zao, yalikuwa yametimia.
# Maneno yangu na amri zangu
Hii yote inaonesha Mungu aliyokuwa ameyasema kwa manabii.
# kuwapata baba zenu
Yahwe anazungumzia unabii wake kama vile unawakimbilia babu zao ili uwapite. Neno "kupata" lamaanisha kuwapita
# matendo na njia zetu
"mwenendo na matendo yetu"