forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
276 B
Markdown
16 lines
276 B
Markdown
|
# Walinz
|
||
|
|
||
|
wao wanao kesha na kulinda mji usiku
|
||
|
|
||
|
# walinipata mimi
|
||
|
|
||
|
Neno "mimi" la muhusu mwanamke.
|
||
|
|
||
|
# askari katika ukuta
|
||
|
|
||
|
wanaume wanao linda kuta"
|
||
|
|
||
|
# nguo yangu ya juu
|
||
|
|
||
|
nguo ya nje ambayo watu wanavaa juu ya nguo yao ingine sehemu ya mabegani wanapo enda sehemu ya hadhara.
|