sw_tn/sng/05/03.md

24 lines
673 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# joho
nguo nyembamba watu waliyo vaa kwenye ngozi yao
# lazima nilivae tena?
"sitaki kuvalishwa tena"
# Nimeosha miguu yangu
Tafsiri zinazo wezekana ni 1) mwanamke aliosha miguu yake ili aweze kwenda kitandani au 2) Neno "miguu" wakati mwengine la tumika kama tafsida kueleza sehemu za siri za mwanamke. "nimejiosha"
# Mpenzi wangu anaeka mkono wake kwenye kitasa
Tafsiri zinazo wezekana ni 1) mpenzi anafikia nyumbani kwa kupitia kitobo kwenye mlangao ili kufungua mlango au 2) huu ni mwanzo wa tendo la mapenzi. Katika huu muktadha, "mkono" waelezewa kama tafsida ya sehemu za siri za mwanamme.
# Mpenzi wangu
Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:12
# kitasa
"kufuli"