sw_tn/sng/04/02.md

20 lines
796 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Meno yako ni kama kondoo walio nyolewa
Baada ya kondoo kunyolewa, wameoshwa na ngozi yao yaonekana nyeupe sana. Haya maneno yalinganisha weupe wa meno ya mwanamke na mng'ao mweupe wa manyoya ya kondoo baada ya manyoya yao kunyolewa.
# wakitoka sehemu ya kuoshwa
Hii ina maana kondoo wanatoka kwenye maji. "wakitoka kwenye maji baada ya watu kuwaosha"
# Kila mmoja ana pacha
Kwa kawaida kondoo uza wana kondoo wawili kwa wakati mmoja. Hawa wana kondoo huwa wamefanana. Kila meno ya mwanamke yana jino linalo fanana upende wa pili wa mdomo wake. Hivyo ni kama kila jino lina pacha kama wana kondoo.
# hamna ata mmoja miongoni mwao aliyefiwa.
Hakuna meno yao yaliyo poteza jino lingine linalo fanana upande wa pili. Mwanamke hajapoteza meno yake.
# aliyefiwa
Kupoteza mpendwa aliye kufa.