sw_tn/sng/01/12.md

24 lines
492 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# amelala kitandani mwake
"amekaa mezani mwake"
# yakasambaza arufu
"yakatoa harufu yake nzuri"
# nardo
mafuta watu wanayo tumia kufanya ngozi yao safi na nyororo.
# Mpenzi wangu ni kwangu kama
"Kwangu mimi, mpenzi wangu ni kama"
# lala usiku katikati ya maziwa yangu
"analala katikati ya maziwa yangu usiku kucha." Wanawake wanaweka kiasi kidogo cha manemane ya gharama kifuani mwao kuwapa harufu nzuri.
# mua ya hena
maua kutoka jangwa dogo la miti watu walio tumia kama marashi