sw_tn/rut/04/05.md

16 lines
334 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Siku utakayo nunua ... lazima pia
Boazi anatumia huu msemo kutambulisha ndugu zake majukumu ya ziada atakayo kuwa nayo atakapo nunua ardhi
# kutoka nchi ya Naomi
"kutoka kwenye umiliki wa Naomi"
# lazima pia umchukuwe Ruthi
"lazima umuoe Ruthi"
# Ruthi ... mke kwa mwanaume aliye kufa
"Ruthi ... mjane wa mwana wa Elimeleki"