sw_tn/rut/02/08.md

12 lines
192 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Una nisikiliza mimi, binti yangu
Hii yaweza andikwa kama amri
# binti yangu
Hii ilikuwa namna ya ukarimu ya kumtaja mwanamke
# Eka macho yako shambani
Macho yanawakilisha kutizama kitu