sw_tn/psa/148/007.md

12 lines
455 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# vilindi vyote vya bahari
Msemo huu unawakilisha kila kiumbe kinachoishi katika vilindi vya bahari. "viumbe vyote katika vilindi vya bahari"
# moto na mvua ya mawe, theluji na mawingu, upepo wa dhoruba
Mwandishi anazungumza hivi vitu vya asili kana kwamba ni watu na kuviamuru kumsifu Yahwe.
# upepo wa dhoruba unaotimiza neno lake
Msemo "neno lake" unawakilisha kile ambacho yahwe ameamuru. "upepo wa dhoruba unaofanya kile ambacho Yahwe ameamuru"