sw_tn/psa/148/003.md

20 lines
874 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Msifuni, juana mwezi
Mwandishi anazungumza na jua na mwezi kana kwamba ni watu na anaziamuru kumsifu Yahwe. "Msifuni Yahwe, jua na mwezi, kama watu wafanyavyo"
# msifuni, nyota zote zinazong'aa
Mwandishi anazungumza na nyota kana kwamba ni watu na anaziamuru kumsifu Yahwe. "Msifuni Yahwe, nyota wa kung'aa, kama watu wafanyavyo"
# Msifuni, mbingu ya juu zaidi
Msemo "mbingu ya juu zaidi" ni lahaja ya kumaanisha mbingu yenyewe. Mwandishi anazungumza na mbingu kwan kwamba ni mtu na anaiamuru kumsifu Yahwe. "Msifu yahwe, mbingu iliyo juu zaidi, kama watu wafanyavyo"
# nyie maji mlio juu ya anga
Mwandishi anazungumza na "maji mlio juu ya anga" kana kwamba ni watu na anayaamuru kumsifu Yahwe. "Msifuni Yahwe, maji mlio juu ya anga, kama watu wafanyavyo"
# maji mlio juu ya anga
Mwandishi anazungumzia sehemu juu ya anga ambapo maji huhifadhiwa na mvua hutokea.