sw_tn/psa/148/001.md

8 lines
275 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Msifuni Yahwe, nyie mbinguni ... nyie mlio juu
"Msifuni Yahwe, nyie mbinguni ... nyie mlio angani." Mistari hii miwili ina usambamba. Msemo "juu" una maana sawa na "mbinguni" katika mstari uliopita"