sw_tn/psa/132/011.md

12 lines
447 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitamweka mmoja wa uzao wako kenye kiti chako cha enzi
Kumfanya uzao wa mfalme kuwa mfalme badala yake inazungumziwa kama kumweka katika kiti cha enzi cha huyo mfalme. "Nitasababisha mmoja wa uzao wako kutawala Israeli katika nafasi yako"
# wataketi kwenye kiti chako cha enzi
Kutawala kama mfalme inazungumziwa kama kuketi kwenye kiti cha enzi.
# watoto wako
Hapa "watoto wako" inawakilisha uzao wa Daudi watakao kuwa wafalme. "uzao wako"