sw_tn/psa/128/001.md

20 lines
915 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kihebrania.
# wimbo wa upaaji
Maana zinazowezekana ni 1) "wimbo ambao watu waliimba walipokwenda Yerusalemu kusherehekea" au 2) "wimbo watu walioimba wakati wakipanda ngazi kwenda hekaluni" au 3) "wimbo ambao maneno yake ni kama ngazi."
# Amebarikiwa kila mtu anayemheshimu Yahwe
Msemo huu unatoke katika sauti isiyotenda kuashiria kuwa Yahwe halazimiki kumbariki mtu anayemheshimu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe atambariki kila mtu anayemheshimu"
# Kile ambacho mikono yako huleta
Mtu anaweza kutambulika kwa mikono yake kwa sababu hiyo ndio sehemu ya mwili anayotumia kufanyia kazi. "Unacholeta" au "Unachofanyia kazi"
# utabarikiwa na kufanikiwa
Maneno "kubarikiwa" na "kufnikiwa" ina maana ya kukaribiana na inasisitiza fadhili za Mungu. "Yahwe atakubariki na kukufanikisha" au "Yahwe atakufanya ubarikiwe na ufanikiwe"