sw_tn/psa/119/133.md

12 lines
521 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ongoza hatua zangu
Hapa neno "hatua" inamwakilisha mwandishi anavyotembea. Anazungumzia jinsi anavyoishi, au mwenendo wake, kana kwamba alikuwa akitembea katika njia. "Niongoze" au "Nifundishe jinsi ya kuishi"
# usiache dhambi yoyote initawale
Mwandishi anazungumzia dhambi kana kwamba ni mtu mwenye mamlaka juu yake. Maana zinazowezekana ni 1) "usiniache nifanye dhambi yoyote kwa mazoea" au 2) "usiache watu wenye dhambi wanitawale"
# Niokoe na ukandamizaji wa wanadamu
"Niokoe na watu wanaowakandamiza wengine"