sw_tn/psa/119/121.md

16 lines
451 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# AYINI
Hili ni jina la herufi ya kumi na sita ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 121-128 unaanza na herufi hii.
# usiniache kwa wakandamizaji wangu
"usiwaruhusu watu wanikandamize"
# Hakikisha ustawi wa mtumishi wako
Mwandishi anajizungumzia kama "mtumishi wako." "Hakikisha ustawi wangu" au "Nisaidie na unilinde mimi, mtumishi wako"
# wenye kiburi
"wale walio na kiburi" au "watu wenye kiburi"