sw_tn/psa/119/073.md

16 lines
558 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# YOD
Hili ni jina la herufi ya kumi ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 73-80 unaanza na herufi hii.
# Mikono yako imeniumba na kunitengeneza
Mungu kumuumba mtu inazungumziwa kana kwamba Mungu alitumia mikono yake kumuunda mtu kama mtu anavyounda chombo cha udongo.
# Mikono yako
Hapa "mikono" inawakilisha nguvu au matendo ya Mungu. "Wewe"
# kwa sababu napata matumaini katika neno lako
Hapa "neno" linawakilisha anachosema Mungu. "kwa sababu ninaamini unachosema" au "ninaamini kwa ujasiri unachosema"