sw_tn/psa/119/029.md

12 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nigeuze kutoka katika njia ya udanganyifu
Neno "njia" hapa linamaanisha namna ya kuenenda kitabia. "Niepushe na kufuata njia ya udanganyifu" au "Niepushe kutokuwa mdanganyifu"
# udanganyifu
Maana zinazowezekana ni 1) kudanganya" au 2) "kuamini uongo" au "kufuata uongo"
# njia ya uaminifu
Jinsi mtu anavyoenenda kitabia au kutenda inazungumziwa kana kwamba ni barabara au njia. "kuwa mwaminifu kwako"