sw_tn/psa/119/025.md

20 lines
766 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# DALETI
Hili ni jina la herufi ya nne ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 25-32 unaanza na herufi hii.
# Maisha yangu yanang'ang'ania kwenye mavumbi
Hii ni lahaja. Maana zinazowezekana ni kwamba 1) alidhani kuwa atakufa punde, au 2) alilala kwenye mavumbi kwa sababu alikuwa na huzuni sana, au 3) aligundua kuwa alitamani vitu visivyo na faida vya duniani.
# Nipe maisha kwa neno lako
Hii ni lahaja. Hapa "maisha" inamaanisha kusudi na umuhimu, sio maisha ya kimwili tu.
# kwa neno lako
"Neno" la Mungu linawakilisha alichokisema. Hapa linamaanisha alichoahidi. "kulingana na ahadi yako"
# njia zangu
Kile ambacho mtu hufanya au jinsi anavyoenenda inazungumziwa kana kwamba ni barabara au njia. "nilichofanya"