sw_tn/psa/118/022.md

8 lines
366 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Jiwe ambalo wajensi walikataa limekuwa jiwe kuu la pembeni
Hii inaweka kuwa mithali ambayo mwandishi ametumia kuelezea mojawapo kati ya mfalme ya taifa la Israeli. Lile ambalo watu wameona halifai, Yahwe amelifanya kuwa la muhimu zaidi.
# ni la ajabu machoni petu
Maana zinazowezekana ni 1) "ni jambo la ajabu kwetu kuona" au 2) "tunaona kuwa jambo la ajabu ."