sw_tn/psa/118/015.md

12 lines
489 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sauti ya kelele ya ushindi inasikika katika mahema ya wenye haki
"Watu husikia kelele ya furaha katika mahema ya wenye haki" au "Wenye haki wanapiga kelele kwa furaha ya ushindi kwenye mahema yao"
# mkono wa kuume wa Mungu unashinda
Hapa neno "mkono" linawakilishi uwezo wa Yahwe. "Yahwe ameshinda kwa nguvu yake kuu"
# mkono wa kuume wa Mungu unashinda
Hapa, kuinua mkono ni ishara ya ushindi. "Yahwe ameinua mkono wake wa kuume" au "Yahwe ameinua mkono wake wa kuume kwa ushindi"