sw_tn/psa/116/018.md

16 lines
395 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mtu aliyeandika wimbo huu anaendelea kuzungumza.
# Nitatimiza ... watu wake wote
"Nitatimiza nadhiri zangu kwa Yahwe ili watu wote waone"
# katika baraza la nyumba ya Yahwe
Neno "nyumba" linamaanisha hekalu ya Yahwe. "katika baraza la hekalu ya Yahwe"
# katikati yako, Yerusalemu
Mwandishi anazungumza na Yerusalemu kana kwamba anazungumza na mtu. "katika Yerusalemu"