sw_tn/psa/116/001.md

8 lines
271 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# husikia saauti yangu na maombi yangu ya huruma
Hapa neno"sauti" linawakilisha mtu anayeongea. Msemo, "maombi yangu ya huruma" unaeleza anachokisema. "hunisikia ninapojieleza kwa ajili ya huruma"