sw_tn/psa/106/030.md

8 lines
352 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha Finehasi akainuka kuingilia kati
Finehasi aliingilia kati miongoni mwa watu, kuwaadhibu kwa dhambi zao. Hii inaweza kufanywa wazi. "Kisha Finehasi akainuka kuingilia kati miongoni mwa watu kwa sababu ya dhambi yao"
# Ilihesabika kwake kuwa tendo la haki
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu walitambua lile kuwa tendo la haki"