sw_tn/psa/106/026.md

12 lines
361 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akainua mkono wake
Neno "wake" ina maana ya Yahwe. Pia, ilikuwa utamaduni kuinua mkono wakati wa kutoa kiapo.
# kutawanya uzao wao ... katika nchi za kigeni
Misemo hii miwili ina maana moja na inatumika pamoja kwa ajili ya msisitizo. "na ya kwamba angefanya uzao wao kuishi katika nchi za kigeni"
# kutawanya
Hii ina maana ya kutawanya au kusambaza kitu