sw_tn/psa/106/013.md

20 lines
560 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hawakusubiri maelekezo yake
Inadokezwa ya kwamba walifanya mambo bila kusubiri kujua Yahwe alitaka waende wapi. "walifanya mambo bila kwanza kusubiri maelekezo ya Yahwe"
# uchu usiotosheka
"uchu ambao hauwezi kutoshelezwa"
# walishindana na Mungu
"Waliasi dhidi ya Mungu"
# uliteketeza
"uliwapita" au "ulichukua"
# lakini akatuma ugonjwa
Hapa Daudi anazungumza kuhusu Yahwe kusababisha watu kuumizwa kwa ugonjwa kana kwamba Yahwe alituma ugonjwa kwao kwa njia moja ambayo mtu hutuma mtu au mjumbe. "lakini alisababisha ugonjwa kuteketeza miili yao"