sw_tn/psa/106/006.md

8 lines
204 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hawakutambua mambo yako ya ajabu
"hatuna shukurani kwa ajili ya mambo ya ajabu uliyofanya"
# katika bahari ... Bahari ya Matete
Misemo hii miwili ina maana ya kitu kimoja. Ya pili ni jina la bahari.