sw_tn/psa/104/027.md

20 lines
399 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hawa wote
"Viumbe hawa wote"
# kuwapa chakula chao kwa wakati
"kuwapa chakula chao wanapokihitaji"
# Utakapowapatia, wanakusanya
Inaweza kusaidia kuandika ya kwamba ni chakula ambacho kinapewa. "Unapotoa chakula kwao, wanakikusanya"
# wanakusanya
"kusanya"
# unapofungua mkono wako
Hii inaelezea Yahwe kama kufungua mkono wake kutoa chakula kwa viumbe. "unapofungua mkono wako kuwalisha"